Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mie siwataki asee, biashara ya kuambiwa hereni ni mauzauza tufunge na kusali sitaki miee



Mie siwataki asee, biashara ya kuambiwa hereni ni mauzauza tufunge na kusali sitaki miee



Ameshakujibu? Kasema ni nani ?Naniiiii jamaan
Rainyundo huyu wa Kupiga assist kura za wananchi alizaliwa Machi 1875 na kufariki dunia 1961 akiwa na miaka 86KUTANA NA UCHAGUZI MKUU ULIOWEKA RECORD YA DUNIA KUTOKA AFRIKA HII HII.
Anaitwa CHARLES D.B KING
Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia mwaka 1927 nchini LIBERIA huyu muheshimiwa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi ya watu waliojiandikisha.
Watu waliojiandikisha walikuwa 15000.
Ila Mbabe huyu akajishindia kiti cha urais kwa kura 234,000 huku mpinzani wake akijichukulia kura 9000. Huu ulikuwa uchaguzi wa mara ya tatu jamaa akitetea kiti chake, kwa kituko hiki Jamaa aliingizwa kwenye record za dunia za "Guinness Book of Records".
Maajabu haya yanapatikana Afrika pekee.
![]()
Zaidi ya hataree... yaani![]()
Huu mzigo ni shida![]()
.....
Toauti ipi?Same but different
Pole pole basiiiLove even more
Hahaaa!Mpe maji
Hahahaa!Aaah
Yaani unanitamanisha ujue
Zaidi ya hataree... yaani
Have a watch down here ! Watch it
Demi anakutafuta wee kisheti..Sijui ww sijui demi hata sijaelewa vzr..
Hiyo polisi akisikia mlio wake tuu anasepa !Noma aisee
.....

Yaani JF kingekuwa kijiji basi unamaliza chore kabisa yaani risasi mfululizo tuHiyo polisi akisikia mlio wake tuu anasepa !
Ukikutoa mpuuzi anayo ba anaijua vizuri ! Ni sekunde tuu anasafisha mtaa![]()