Makapuku Forum

Makapuku Forum

KUTANA NA UCHAGUZI MKUU ULIOWEKA RECORD YA DUNIA KUTOKA AFRIKA HII HII.

Anaitwa CHARLES D.B KING
Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia mwaka 1927 nchini LIBERIA huyu muheshimiwa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi ya watu waliojiandikisha.

Watu waliojiandikisha walikuwa 15000.

Ila Mbabe huyu akajishindia kiti cha urais kwa kura 234,000 huku mpinzani wake akijichukulia kura 9000. Huu ulikuwa uchaguzi wa mara ya tatu jamaa akitetea kiti chake, kwa kituko hiki Jamaa aliingizwa kwenye record za dunia za "Guinness Book of Records".

Maajabu haya yanapatikana Afrika pekee.

f5e018eccc0820a828ce70629f5798ad.jpg
 
Aisee
 
Hiyo sio ya kutoa hovyo... Kuna tukio gani
Si unajua Babu yangu kila Tarehe ya ya mwisho wa Mwezi wa 6 yaani June 30 alikuwa anaenda Range kufanya mazoezi ya Target...?

Sasa akirudi jioni alikuwa anatuita wajuu zake miaka ya 80's hiyo afu anapiga risasi 3 angani..

So i am keeping what he used to do. [emoji379]
 
Back
Top Bottom