Makapuku Forum

Mzee hata mimi simwelewi CR7 kuhusu maisha yake ila namwelewa tu kuhusu mpira wake
.....
 
Swaga za dogo mnyoa panki huwa zinanifurahisha na kunichekesha
Kagundua "hakuna vita" hivyo anajijenga kwa kupiga mikwara

.....
 
Barikiwa sana
 
Leo katika historia

30/6/1966 Mike Iron Tyson anazaliwa. Ni mmoja kati ya mabondia hodari kuwahi kutokea hapa duniani katika mchezo wa Masumbwi

Akishinda 7% ya mapambano yote aliyocheza kwa KO
Nakumbuka zaidi alipomng'ata sikio Evander Hollyfield baada ya kuona maji yamezidi unga na Hivyo harufu ya kichapo inanukia

Alivuna utajiri mkubwa kupitia ndondi ila leo hana kitu sababu kubwa ni tabia za kiswahili na starehe zilizopotiliza
Hata mswahili Floyd Mayweather Jr tusishangae akifilisika miaka ya mbeleni
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…