Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28...
Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia,
Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee
Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375418 hii inamhusu Malinzi, Mwesigwa na Nsian
Na sasa werudishwa rumande na wamenyimwa dhamana.
Nilijua nikitaja Wasukuma lazima utajitokeza kutoka mafichoni
Na kweli umejitokeza
Itabidi niwaseme daily
.....
Labda sababu umeme umerudi mda si mrefu huku kwetu ni sheeda kila siku umeme unakatwaLabda jioni ataweka tuvute subira
Aisee shusha vituTOP TEN
Leo nashusha vitu mapema maana nitakuwa maeneo korofi baadaye
Hebu tuwaangalie wanyama kumi wenye mambo ya kipumbavu au ambao ni wajinga wajinga au wana akili za kuzaliwa ila kwao ni mwendo wa kufanya mambo kipuuzipuuzi au hawataki tu kutumia akili zao
Karibuni
....
Ndio mana nakupenda baba d wangu jamaanNakutumiaa mm na wewe tenaa
Shemela bwana angejua sijanywa nina miezi mara ya mwisho ile siku niliyotuma picha ya beerjana alisema cio ww
Kule usukumani fisi huwa anajichukulia tu7/Sheep
Unafuga kondoo? Wapime werevu wao!!
Kondoo nao ni wapuuzipuuzi tu japokuwa wanejaaliwa akili
Pia ni wanyama wapole....kondoo wengi ni wajinga na wazembe ndiosababu wanauawa na wanyama wengine kizembezembe
.....
Labda sababu umeme umerudi mda si mrefu huku kwetu ni sheeda kila siku umeme unakatwa
Ye hajui kapata ubatizo wa maji mengiShemela bwana angejua sijanywa nina miezi mara ya mwisho ile siku niliyotuma picha ya beer
Tushapoa mke mwee tushajizoelea na huu mgao bubupoleni jamaaani
Ye hajui kapata ubatizo wa maji mengi
Mwisho wa usahili wa wagombea wa uongozi pale TFF.... Ndio mwanzo wa muvi mpya kwenye uchaguzi mkuu.me sijui nipo dunia ya ngapi kumbe haya yamefikia huku kweli wenye mpira wao wameamua wanataka mpira wao
Safari vipiiNdio mana nakupenda baba d wangu jamaan
Aisee, Asante bitoz kwa kumi kubwa1/HumanBinadamu amejaaliwa akili za kutambua manbo mema na mabaya pia kuyatawala mazingira na viumbe vingine ila usishangae ni mnyama mjinga na mpumbavu
Waswahili husema akili nyingi huondoa maarifa pia ujanja mwingi ni ujinga !!!
Binadamu anayaharibu mazingira yake mwenyewe
Binadamu wanauana wenyewe kila kukicha
Binadamu anatengeneza silaha mfano za nyuklia ambazo humwangamiza yeye mwenyewe
Wanasiasa wanaharibu utulivu wa nchi/jamii wakidhani hayatawapata wao na familia zao
Binadamu ana upumbavu wa kila aina,baadhi ya viungo kavipa matumizi yasiyo yake
Watu kila siku JF wanasoma thread za uwepo wa akina Rainyundo wazee wa kupiga assist lakini wanaendelea kutapeliwa kizembezembe tu utafikiri hawaoni wala kusikia...wengine wapo JF kwa ajili ya kutukana watu, wengine kutafuta likes na umaarufu kwa nguvu badala ya maarifa au pengine kutafuta hela
Makanisani nako Mchungaji hata awaambie waumini wanywe sabuni ya kusafishia choo wanakunywa tu
Binadamu wana mambo ya kipuuzi na ujinga uliopitiliza
.
.
.
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
.......
My loveNi kweli tulichelewa mpirani
Shemela za jioniAsante mke mwee za wewe apo