Makapuku Forum

Kwelii kabisa
 
Leo katika historia itawajia hivi punde tu....
Ambayo basi leo hii tarehe 29/6/2017 italetwa kwenu nami Jimena Jimenes
Lakini kwanza tupate maneno kutoka kwa wadhamini wetu

Kinywaji asilia kutoka kule kaskazini..... Karibuni sana
 
Leo katika historia
29/06/1978 Mwanadada mrembo Nicole Schetzniger anazaliwa. Huyu ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani ambae anakubalika kwa vibao vyake mahiri kadha wa kadha.
Mi naukubali wimbo wake unaoitwa Lie about us alioshirikiana na Avante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…