I see wananunua daraja wanalitaka la nini au la kulipia?5/George Parker
Alizaliwa 1870
Huyu ni Rainyundo katika historia nchini Marekani ....alifanikiwa hadi kuwatapeli watalii kwa kuwauzia mji(ardhi) ya jiji la New York
Hakuishia hapo, alifanikiwa kuliuza Brooklyn Bridge mara mbili kwa wiki kwa miaka kadhaa
Alifanikiwa kuwatapeli watu kibao pia kwa kuwauzia Madison Square Garden na utapeli kibao ambao naweza kujaza page nzima hapa
Huyu kwangu Ndo mpiga assist japo matapeli wanatogautiana
......
Huyu alikua msomi nahisi.... Imagine ana mpaka machine za kutengenezea hela fake.... Halafu mtu unauziwaje mnara ambao sio Mali ya mtu??? Ujinga mtupu Ila ingekuwa bongo ungesikia waliopigwa wanajitetea (alikuja na dawa yani akikwambia kitu wala hukatai) kumbe ubwege mtupu4/Victor Lusting
Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1890 na kufariki dunia 1947
Alikuwa ni tapeli maarufu ....walifanya utapeli mwingi ikiwemo kuwauzia wasafiri ndani ya meli viboksi feki vya kutengenezea pesa(money print) alivyovitengeneza kwa ustadi mkubwa Alikuwa na maneno matatu,mtu snart kimavazi,mjanjamjanja
Tukio lilimpaisha zaidi ni alipofanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwauzia mnara wa Paris Paris Elffel Tower mara mbili kwa kuwapa tenda feki ya kuubomoa ili wachukue vyuma chakavu
Kiasi kwamba walipogundua wametapeliwa waliona aibu hata kutangaza kwamba jamaa kawapiga assist.....ilikywa ni aibu kwa watu wa hadhi yao
.......
Hapo sasa ndio uone kuwa wajinga ndio waliwao[emoji1]I see wanunua daraja waitaka nini au la kulipia?
Alijifanya mtu wa serikaliniHuyu alikua msomi nahisi.... Imagine ana mpaka machine za kutengenezea hela fake.... Halafu mtu unauziwaje mnara ambao sio Mali ya mtu??? Ujinga mtupu Ila ingekuwa bongo ungesikia waliopigwa wanajitetea (alikuja na dawa yani akikwambia kitu wala hukatai) kumbe ubwege mtupu
Labda kama Kigamboni BridgeI see wanunua daraja waitaka nini au la kulipia?
Ndio ili waone kuwa serikali imeamua kubinafsisha...Alijifanya mtu wa serikalini
.......
Sasa mtu unalinunua ili iweje?? Sababu maeneo kama Yale serikali haichelewi kutengua mikataba[emoji1]Labda kama Kigamboni Bridge
....
Aisee duniani kuna vichwa hatari sana7/Eduardo de Valfierno
Huyu ni tapeli wa Kiargentina
Huyu bwana ndo aliyefanikisha kuibwa kwa picha ya Monalisa
Alijifanya Marquis na kutafuta watu na kuwalipa kisha wakaiba picha ikiwa Makumbusho mwaka 1921
Baada ya aliyemtuma kuiba na kusepa huyu jamaa akala kamisheni na watunzaji na kutoa kopi 6 za picha hiyo
Na msala ulikuwa mrefu kiasi Ni ngumu juuelezea wote
.......
KaribuHodi wenyewe hodi
LabdaLabda kama Kigamboni Bridge
....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] jamaaa alikuwa vizur6/Soapy SmithAlizaliwa nchini Marekani 1860
Alikuwa ni msanii,tapeli na pia alimiliki genge lililokuwa lokijihusisha na Organised Crimes nchini humo
Alikuwa maarufu kwa kuanzisha "tripe and keister" katika kona zenye msongamano mkubwa wa watu mtaani na na kuuza keki za sabuni(keki feki) na kukusanya makumi kwa mamia ya watu kisha kuanza ujanjaujanja ila mwisho wa siku aliondoka na mpunga mrefu kwa kitapeli
.......
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sasa mtu unalinunua ili iweje?? Sababu maeneo kama Yale serikali haichelewi kutengua mikataba[emoji1]
Mi hili huniuzii aisee
KaribuHodi wenyewe hodi
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Huku ni Ant stress zone na Unreachable Ban.
Tunaishi kama ndugu huku heshima na Upendo vikitawala..
PIA TUNATOA ASSIST
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] anamjua kweli, bora ungemwambia mwaikimbaSawa, mpira pasi lakini mimi ni Ruud van Nistelrooy, nitoe pasi kwa nani tena ?
Duh hatari4/Victor Lustig
Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1890 na kufariki dunia 1947
Alikuwa ni tapeli maarufu ....walifanya utapeli mwingi ikiwemo kuwauzia wasafiri ndani ya meli viboksi feki vya kutengenezea pesa(money print) alivyovitengeneza kwa ustadi mkubwa Alikuwa na maneno matatu,mtu snart kimavazi,mjanjamjanja
Tukio lilimpaisha zaidi ni alipofanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwauzia mnara wa Paris Paris Elffel Tower mara mbili kwa kuwapa tenda feki ya kuubomoa ili wachukue vyuma chakavu
Kiasi kwamba walipogundua wametapeliwa waliona aibu hata kutangaza kwamba jamaa kawapiga assist.....ilikywa ni aibu kwa watu wa hadhi yao
Jamaa Alikuwa na kanuni yake ya utapeli(kutolewa,kuwa smart,kutokuwa mwongeaji)
.......
Nakusalimia bhinamuSawa, mpira pasi lakini mimi ni Ruud van Nistelrooy, nitoe pasi kwa nani tena ?
Haaaaahaaaa assit ni kipaji4/Victor Lustig
Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1890 na kufariki dunia 1947
Alikuwa ni tapeli maarufu ....walifanya utapeli mwingi ikiwemo kuwauzia wasafiri ndani ya meli viboksi feki vya kutengenezea pesa(money print) alivyovitengeneza kwa ustadi mkubwa Alikuwa na maneno matatu,mtu snart kimavazi,mjanjamjanja
Tukio lilimpaisha zaidi ni alipofanikiwa kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwauzia mnara wa Paris Paris Elffel Tower mara mbili kwa kuwapa tenda feki ya kuubomoa ili wachukue vyuma chakavu
Kiasi kwamba walipogundua wametapeliwa waliona aibu hata kutangaza kwamba jamaa kawapiga assist.....ilikywa ni aibu kwa watu wa hadhi yao
Jamaa Alikuwa na kanuni yake ya utapeli(kutolewa,kuwa smart,kutokuwa mwongeaji)
.......
Karibu rubii za uzima ?ubarikiwe[emoji120]Hodi wenyewe hodi