Mie alienifanya niingie kapuku ni sakayo jaman huu uzi nikiingia chit chat huwa nauona siingii
Kuna siku tupo MMU na sakayo akaniambia kuna uzi huko chit chat unaitwa mapakuku nikamwambia una nini ujue me nauona sijawahi ingia
Akaniambia huko wana Raisi wao makamu wao na wana vijembe hatari nimetoka kuchungulia huko nikacheka sana tena tulikuwa na Quiqley kwenye huo uzi akatuambia ebu njoeni siku moja msisikie maneno ya kusikia mbona sisi ni watu wazuri
Basi siku isiyokuwa na jina nikaingia nikawambia nimepita kuwasalimia nikamkuta mukongo, kingli mwenyewe na lee nahisi sijui nilikaribishwa vizuri nikawa nikijiskia kuingia naingia
Ila Baba D jamaan ndio tulikutana huku mpaka leo