Makapuku Forum

End
.
.
.
.
.
Tukutane jioni/usiku kwenye 10 kibwa
Niwatakie mchana mwema
.........
Shukrani madenge ...

Ebu nyongeza kidogo ....hii kitu ni muhimu sana nikimanisha machozi aka tears ...

Kama ilivyo kazi ya moyo ni kupenda eti kupenda sory ....ni kusukuma damu mengine kimbelembele ...huko kupenda mengineyo kama Bitozi na Malkia wake ....tuache ukoo hivo hivo tears kazi kubwa ni kusafisha /lubricate cornea na conjuctiva (hii ndo sehem nyeupe ya jicho ) ...usichokee twende sawa ...


LACRIMATION ...tears secretion

Machozi uzalishwajii wake ni hormonal control japo kitaalamu yapo ya aina mbili achana na compositions kama ulivotujulishaa

1.Basal secretion (basic) ...haya yanatokea pasipo kusisimuliwa ila ngoja nitumie stimulation make wakina husna nawajua wa hapa ...sory na kazi yake ni kuitunza cornea na conjuctiva

2.Reflex tear secretion ...sasa hapa ndo tunaona yale yanayozalishwa kwa kustimulatuwaa aka kusisimuaa under physiological factors ...sasa apa ndo yote yanajaa apa kuachwa , kupoteza mtu mhimu na hapa niseme yote ya huzuni na furaha utayapata hapa ....naongea mengi lakin sio mbaya mm nshabugia kimanikia changu cha pilau swaaafiii na bhinamu yangu jana kapitishiwa acacia kuonekana ndoto ....

Yote kwa yote aya ma tears yanafanyika chini ya lacrimal gland na mwenzie accessories gland nikimaanisha Krause na wolfring gland .....ndo tunapata terminology ya LACRIMATION ...

Asante ila nawakumbusha tu ambao hamjanialika nikimanisha wenzangu waislamu bado miezi 5 tutajuana Xmas
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…