Kumbe Mzee Chifupa alikufa?Mama ramanino
Aisee namuonea huruma mwanae maana alianza kufa mama yake akafata baba yake baadae akafa bibi yake na hapa majuzi tu akamalizia babu yake mzee chifupa
Ila yote ni kazi ya mungu tu huwaga haina makosa
Hili ndio taifa ambalo sijawahi kulielewa7/Chinese New YearHuu ni mwaka mpya "feki" wa Wachina.....anajulikana pia kama Spring Festival
Husherehekewa kila siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza wa kalenda ya kichina
Yaani Februari 16 mwaka huu
Ila huwa ni kati ya Januari 21 hadi Februari 20
.........
Hahaa...sasa mpaka shunie jamanHutaki cc TV camera eeh
HahahaHahaa...sasa mpaka shunie jaman
Hadi kwenye kwaito?Hahaha
Vumilia tu mme wangu, Shunie ni Sakayo and vice versa..
Binamu yangu kipenzi nakuona jamaaan Eid Mubarakukuje basi binamu yake shunie najua leo mwendo wa safari lager
Ila wewe hivi upojeeee umeulizwa lakiniKwa bossy lady mgeni..Uzi umetembea ule kuliko Uzi wowote wa utambulisho,kama hamkumfunda kufunga PM,basi huko PM kumejaa mpaka seat zimeisha wengine wamesimama
Bitoz ntakuchapaaTOP TEN
Gongo nililokunywa halijapanda sana kichwani ndio maana nimeamua kushusha kumi kubwa
Leo ni sikukuu ya Idi ampapo Waislamu duniani note wamesherehekea baada ya Siku 30 za kushinda na njaa mchana kutwa
Sasa leo nakuletea sikukuu 10 zinazoadhimishwa na watu wengi zaidi duniani au tuseme sikukuu kumi maarufu zaidi duniani
Karibuni
.......
HahahaHadi kwenye kwaito?
Hao ndo wachina wana kila kitu fekiHili ndio taifa ambalo sijawahi kulielewa
Transcend... My valentine5/Valentine's Day
Who is your valentine? Mimi kwangu ni mbuzi na mifugo mingine ninayofuga !!
Ni sikukuu ya wapendanao inayosherehekewa kila Februari 14
Inasherehekewa karibia kila nchi duniani ila nasikia kwa dogo mnyoa kiduku Korea Kaskazini haisherehekewi,pia Krisimasi
Ndiyo sherehe # 2 ambayo watu wengi hutumiana kadi kwa wingi ikizidiwa na mwaka mpya pekee
......
Kwaito ya kitandani ni nyie tu ya ukumbini na mie nipoHadi kwenye kwaito?
Avumilie tu hakuna namnaHahaa...sasa mpaka shunie jaman
Hahaha
Vumilia tu mme wangu, Shunie ni Sakayo and vice versa..
Binamuuu mchele robo nazi 3Aunt, shwari lakini! Usione hujapata mwaliko ukasema sipo, sijakaribisha maana nimekaribishwa tu hapa yaani ni mwendo wa pilau acacia, nyama nyingi kuliko mchele, mchele robo umekaangwa nazi tatu.
Nitarudi tena maana hapa nishamaliza round ya kwanza.
Sorry ndugu zangu WaislamuBitoz ntakuchapaa
Ss waislam hatushindi na njaa tunatekeleza 1 ya nguzo za uislam inayotutaka kufunga swaumu
Sasa wewe usemeje et"kushinda njaa mchana kutwa"
UmeonaeeAvumilie tu hakuna namna
Baba D wangu my valentine5/Valentine's Day
Who is your valentine? Mimi kwangu ni mbuzi na mifugo mingine ninayofuga !!
Ni sikukuu ya wapendanao inayosherehekewa kila Februari 14
Inasherehekewa karibia kila nchi duniani ila nasikia kwa dogo mnyoa kiduku Korea Kaskazini haisherehekewi,pia Krisimasi
Ndiyo sherehe # 2 ambayo watu wengi hutumiana kadi kwa wingi ikizidiwa na mwaka mpya pekee
......
Kho Kho Kho KhoKwaito ya kitandani ni nyie tu ya ukumbini na mie nipo