Makapuku Forum

Hongera sana mkuu... Mwaka mmoja sio lele mama
Nakumbuka mchawi Jr alianzisha uzi maalumu Ila akafika mahali akasanda.
Hongera sana
 
Kuna mdau alijaribu kuiga na kwenda kuanzisha thread awe anapost lakini akashindwa
Maana kukopi sehemu ni japo moja ila kuandika unachokifahamu ni jambo kingine....akaishia kujikanyagakanyaga tu
Nafikiri unamfahamu
........
Ndio hata mi ndio kitu cha kwanza kukumbuka

Big up mwenyekiti Mussolin5 naheshimu sana kazi yako
 
1908 - Salvador Allende anazaliwa.

Alikuwa ni Rais wa 29 wa Chile.

Alipinduliwa mwaka 1973 na Jenerali Augusto Pinochet katika mapinduzi yaliyofadhiliwa na CIA.
Alifariki dunia 1973 akiwa na miaka 65
Huo Ndo mwaka pia aliopinduliwa hivyo nafikiri aliuawa au kifo chake kina mkono wa mtu Hao Ndo Wamarekani Wazee wa permanent interests not friends kila vurugu wapo
Mapinduzi ya kumweka kibaraka wao Augustino Pinochet yalifanyika mwaka 1973 yakiongozwa na CIA kupitia kitebgo chao cha weledi
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…