Hongera na Asante sana musoliniLeo katika Historia:
Segment hii leo inatimiza mwaka mmoja rasmi toka ianzishwe!
Ilianza kama utani utani, ila baada ya kupokea maoni ya wadau hapa ikawa official kila siku ipo pale nipatapo muda na hatimae leo ni mwaka mmoja.
Na hii ndio post ya kwanza ya Segment hii, angalia tarehe na mwaka.
View attachment 530852
shululu leo sikukuu wapi unaenda kuila?Samahani mtoto wa Mao, leo magari yamegongana
HBD Salvador Allende1908 - Salvador Allende anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 29 wa Chile.
Alipinduliwa mwaka 1973 na Jenerali Augusto Pinochet katika mapinduzi yaliyofadhiliwa na CIA.
HBD Paolo Maldini1968 - Paolo Maldini anazaliwa.
Beki wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
HBD Samir1987 - Samir Nasri anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji / winga wa zamani wa Arsenal, Kwasasa yupo Man city na timu ya taifa ya Ufaransa.
Asili ya Waitaliano ni SomaliaNimewahi kutawaliwa na Wataliano hivyo hata bendera yao ilofanana na ya Italy
Ila nafikiri walipata Uhuru kutoka kwa Waingereza
......
Alikosa no arsenal, HBD Joel1992 - Joel Campbell anazaliwa.
Winga wa klabu ya Arsenal.
Huyu jamaa yuko wapi nowdays?1983 - Felipe Melo anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Brazil.
R i p foe2003 - Marc Vivien Foe anafariki Dunia.
Alikuwa ni mchezaji wa Man city na timu ya taifa ya Cameroon.
RIP Marc Vivienne Foe2003 - Marc Vivien Foe anafariki Dunia.
Alikuwa ni mchezaji wa Man city na timu ya taifa ya Cameroon.
Nipo Karatu huku na nipo kazini
Vyote sawa, uamuzi ni wako na huyo pia sio kwamba unamlipa ni bure kwasababu anahusika hapo. Online pia wapo hivyo be freeWhy HIM...SAMAHANI KWANINI TUSIWASILIANE NA CHUO ILA HUYU?NAPATA SHIDA NIKIONA MATANGAZO HAYA
RIP Amina2007 - Amina Chifupa anafariki Dunia.
Mtangazaji na Mbunge wa zamani.
Alikuwa ni mmoja wa mastaa maarufu miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Asante kwa historia bora kabisa mkuu diktetaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie Sikukuu njema.