Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bora umekuja anko, unadhani nisingeuchuna ule msala ningeumalizaje? Yaani full majanga, sikukuu siku mbili huyu chimumuna huyu Shia. Ndo utajua haikuwa rahisi.
Umesharudi?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Niliviona sasa nafikri huyu mhamiaji haramu kabadilisha settings. siamini kama vimepotea, hivi hakuna hata mmoja anayenionea imani jama! Nikielewa hiki najua mambo yatakaa vizuri mara anatokea afliti mmoja anaharibu
Na huyo one unamjua?!Mkuu shimmy ni nani ujue shunie ana moyo umekaa upande
Bhinamu ebu kuwa siliasiiii bhasiiii ...ulivonichuniaa pale nkajitoaa ufahamu si unajua tigo yako ulisahau kwenye ile jaketiii niliyokukwapuaa na baridiiii...si nikaitiaaa eti kuitiaaa ...nimeweka on kwenye kinokiaa ntintitiiiii mara sms naiona mama K nkafikiriaa yupiiii ...kuisoma anauliza ile kuku uliyosema akaushee huendiii....nkajitosa mpaka ndanii...nimesema umeitwa kikazii ila alikuwa mtamu.....wwe mwenyewe unaniamini robo bora mimi nakuamini nusu na robo. Vipi umekutana na nini? Ila najua yule hana makeke, yaani siku ile amekuomba umnunulie dela la sikukuu nikasema hollymolly yaani rahisi sana. Ila yule mwingine sasa, komesha ngenge, ulimununulia lile wig-zag
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana ila kwa mfano wa jana mkoba ulisahulika vipiiiKwani umewahi kutokea malalamiko?
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bitoz & Qeen khan..
Bishaaa [emoji3][emoji3]
Ndo unabishaa au unajitetea??Mnanisingizia
......
Mnatusingizia tu[emoji4]Husna muba na mpendwa wake
HiiNani huyo jamani!?
Binamuuuuuuuuuuuuuuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji122] hii kituuu nomaaaaaa...
...yangoyoooo...elookooo .....ototomeeee....
Ngonga ango ya ngoyo....
Ya ngoyo...
Ngonga ango ya ngoyo
Ya ngoyo...
Tango ya ko loba oh ya ngoyo
Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo
E somba ba mituka oh Eloko oyo
E somba ba lopango oh Eloko oyo
Poto pé mikiloh pè na Eloko oyo
Eloko yango nini eh Miziki
Eloko yango nini eh Miziki
Na lela oh bisso oyo......
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo
Na lela ooh bisso oyo......
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo ujiteteeNa huyo one unamjua?!
Au jamaa kachapia labdaa
Mnatusingizia tu[emoji4]
Shunie anajua kuwa unajua kuimba [emoji85] [emoji85]Binamuuuuuuuuuuuuuuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji122] hii kituuu nomaaaaaa...
...yangoyoooo...elookooo .....ototomeeee....
Ngonga ango ya ngoyo....
Ya ngoyo...
Ngonga ango ya ngoyo
Ya ngoyo...
Tango ya ko loba oh ya ngoyo
Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo
E somba ba mituka oh Eloko oyo
E somba ba lopango oh Eloko oyo
Poto pé mikiloh pè na Eloko oyo
Eloko yango nini eh Miziki
Eloko yango nini eh Miziki
Na lela oh bisso oyo......
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo
Na lela ooh bisso oyo......
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo....
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana ila kwa mfano wa jana mkoba ulisahulika vipiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]military police aka mpendwa🙂
Au.....military police aka mpendwa🙂
Kwani sio mpendwa wako?Mnatusingizia tu[emoji4]
Aisee, moyo kazi yake kusukuma damu [emoji125] [emoji125]...pedeshee mutu ya watu, muzee ya peremende, muzee ya kugawa cheni za goldna silver mutamu ya batoto bazuribazuri
Ewaaaaaaaaaah alafu apooo nikipanda stejini ukiwa umeshika briiiifuukeeesiiii kipigweee attente kama cha kuingilia mwisho agongeee hiki amalizeee na associe ....uku ukiona yale matoto mazuriii yakinenguaaaaaa.....weeeeee.....pedeshee mutu ya watu, muzee ya peremende, muzee ya kugawa cheni za goldna silver mutamu ya batoto bazuribazuri