Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Bora apige tu pesa maana timu yenyewe ni bingwa wa kula rambirambiKuna kipindi aliwasumbua Sana simba, huyu
.....
Bora apige tu pesa maana timu yenyewe ni bingwa wa kula rambirambiKuna kipindi aliwasumbua Sana simba, huyu
haha.. inanibidi nisema Inshallah Taala Wabarakatu..Amin yarabi
Swadaktaniko poa kiongozi
Kweliii kabisaaNi mtu poa sana.....akirejea JF nitamfikishia salamu zake na kuwapa mrejesho![]()
........
Ndo usimteseee binamu yangu ...mambo ya kusahau mkoba hatutakii
hivi alishaenda kuuchukuaHiii... ukisika mapendo malizia Daima.. au unataka upendo wa Obe uishe kesho!Nyiee veepee mnapendana??!
Naona mmekazana mapendoo mapendooooo
Kambi gani ...
Nilijua ni husna wa obe

Mnasimanga mifugo yanguWewe mpe hi tuu...
Najua yeye ndio analishaga wale bata ukienda kuchunga mbuzi..
![]()
Sijuiii kwa kwelii usinitafutee maneno![]()
![]()
hivi alishaenda kuuchukua
Mshkaji wangu ni rafiki mkuu usiogopehahahah.. mshikaji wangu
Hapana mkuu..!Mnasimanga mifugo yangu
![]()
![]()
![]()
.....

Nimekupenda T barikiwa sanaIla Mungu ndio kamuumba...
Be careful with your words..
Mumeo huyo mke mwee
Wewe mpe hi tuu...
Najua yeye ndio analishaga wale bata ukienda kuchunga mbuzi..
![]()

Aaaah kumbee! basi hakuna noma mshkaji wanguMshkaji wangu ni rafiki mkuu usiogope
Nakupenda pia kivuruge wa Lee Empire.Nimekupenda T barikiwa sana
Leo una upako shemela wangu sio wa nchi hiiNakupenda pia kivuruge wa Lee Empire.
