Makapuku Forum

Why HIM...SAMAHANI KWANINI TUSIWASILIANE NA CHUO ILA HUYU?NAPATA SHIDA NIKIONA MATANGAZO HAYA
 
Ni kweli, mimi nina ushahidi wa wahanga, baada ya kurudi shule walifanya vizuri zaidi, kuna mmoja sasa anachukua PhD Australia, lakini asingeendelea na shule ndio ingekuwa mwisho wa maisha yake
Tuwaombee sana watoto...ndio maana wanaitwa watoto..wakati mngine tujiulize tulipokuwa watoto ilikuaje?kila mtu anahistoria yake katika mapito ya utoto bila kusaidiwa tusingekua hapa tulipo...hata mkuu naye alikua mtoto alifikaje alipo hakuna aliyezuka tu na kuwa kama alivyo hakika tukitafakari tulikotoka tutakua na sababu ya kuwaona watoto wetu na wa wenzetu kwa jicho tofauti...sio vzr kusema yeye anamtoto anachagamoti kiafya kila siku anaenda kwa TB Joshua ...hata TB Joshua alipokuja aliongea sana na yule mtoto kwa upendo na concern tuliona live ......mbona hajamuacha...jamani Mungu atusaidie.
 
Niyonzima tena ??


Nimeona Victor Wanyama mchezaji mzaliwa wa kenya anayekipiga Spurs ambaye kiukweli soka la kenya analipatia sifa ...na kwake pia Jana kwenye mitandao hope ni kweli huku kwetu Dar es salaam ubungo
kapewa mtaa kwa jina lake ...ok ni nzuri na kiukweli ni heshima kubwa ...swali Langu Huyu Mkenya kasaidia nini hapa kwetu au hapo Ubungo mpka anapewa heshima hiyo kubwa wakati kama kigezo mpira mbona tunao wengi hapa wakongwe na wanaondelea kuipeperusha bendera yetu....

Haijaniingiaa akilini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…