Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1932 - Mapinduzi yasiyomwaga damu yanatokea huko Siam (Thailand) na kuangusha utawala wa Mfalme Prajadhipok.
Mapinduzi yalifanywa kisomi
Yaliongozwa na kikundi cha wasomi wachache tu wa Bangkok ambao wakafanikiwa kulithibiti yjeshi na maofisa wa familia ya kifalme kisha kuwafunga
Ikawa mwisho wa King Prajadhipok
......
 
2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.

Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.

Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…