Makapuku Forum

Karibuuu
 
Asante mkuu
 
Asanteee
 
Dah aisee
 
8/Rat Achilia mbali uwezo wake wa kukaa muda mrefu bila kula...huyu ni noma kwa kusikia
Panya na Paka ni sawa na Bashite na Mange ....hawapatani na kinachomuokoa panya ni pamoja na uwezo wake wa kusikia
Anasikia sauti/rabsharabsa kwa kiwango cha 200Hz hadi 75 Khz
.....,
 
7/Owl
Ana macho ya kuvutia
Bundi hapendwi kabisa na wanadamu huusishwa na nuksi/mkosi ila kwangu mimi namchukulia kawaida tu siamini masuala ya ushirikina....km kuna mtu anajua kuroga aroge nishindwe kumalizia mada tuone
Huyu uwezo wake wa kusikia ni mzuri
Anasikia kati ya 200 Hz hadi 12 Khz
......
 
6/Dog Anafahamika kwa uwezo wake wa kunusa pia kihimili kukaa muda mrefu bila kula
Anatumika zaidi kwaajili ya ulinzi pia kama pambo....anajua kuishi na watu
Ana uwezo wa kumgundua boss wake kwa kusikiliza kishindo mguu/hatua anazotembea
Uwezo wake wa kusikia ni 45 Hz hadi 64 KHz
......
 
5/Cat Ni kweli paka ana roho 7 ? Sijui
Ni kweli paka mweusi ni mchawi ?....Sijui pia
Paka hufugwa kwa ajili ya pambo pia kukamata panya japo kuna paka mabishoo kula kulala tu
Ana uwezo wa kusikia sawa na mbwa
Yaani 45Hz hadi 64 KHz
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…