Kuna wakati unahisi umebaki peke yako kwa kuwa ndugu jamaa n'a marafiki wamekutenga lakini nikuambie ni kweli watakutenga lakini yuko mmoja tu ambaye hatakutenga naye ni Mungu muumba wa mbingu n'a ardhi Mungu wa Abraham Isaka n'a yakobo
Watu wanachopinga ni "kauli" siyo msimamo
Ameongea kama vile ni mzee muhuni muhuni tu .....hajaongea kama "Rais"
Angeweza kusema "kuwaruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo siyo sahihi na angeeleweka ila siyo kuongea kwa kebehi,masimango,dharau n.k
.......