Makapuku Forum

Asante bitoz kwa kumi kubwa
 
tatizo lipo yanayofanyika huko kwenye group mashuhuda ndio walikuwa wanayaongelea na admin wa hizo group alivyokuwa anawafata pm ili awaunge yaan ni mengi kusema watu wasiokuwepo yaan mengi sana na kuuzana kwa wanaume sijui
This is the only bullshit with whatsapp groups..

Ila mimi nisingekula ban..! Nakulaje bani wakati siko kwnye magroup
 
Natafuta mke lakini kigezo awe mshabiki wa arsenal kwa miaka isiyopungua mitano..lengo kuu ni kupata mwanamke mvumilivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…