[emoji120][emoji524] ZABURI 34
1.Nitamtukuza Mwenyezi- Mungu nyakati zote,sitaacha kamwe kuzitamka sifa zake.
2.Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi -Mungu wanyonge wasikie na kufurahi.
3.Mtukuzeni Mwenyezi - Mungu pamoja nami,sote pamoja tulisifu jina lake
4.Nilimuomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu ,na kuniondoa katika hofu zangu zote.
5.Mgeukieni Mungu mpate kufurahi ,nanyi hamtaaibishwa kamwe.
[emoji523] BABA Asante kwa kutuamsha salama,tunakushukuru sana kwani wapo wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza ,hatuna cha kukulipa bali kukushukuru,kukutukuza,kukuheshimu na kulisifu jina lako Takatifu daima.
Siku ya leo BABA tunakuomba tuponye,tufariji,tuongoze,tusaidie kukupenda wewe zaidi na zaidi,tuwapende wenzetu,tuwainue,tuwafariji tuseme nao kwa upendo,tufanye kazi kwa bidii na kukushukuru kwa kila jambo maana wastahili sifa Mfalme wa Amani.
Bariki kila kinachoendelea mahali hapa tukifanye kwa utukufu wa jina lako takatifu,mbariki kila KAPUKU mahali hapa auone ukuu wako na asipungukiwe Upendo,Amani,Mshikamano, Busara,Hekima na Maarifa maana umetuweka pamoja BABA na unalo kusudi nasi TUNAKUSHUKURU,Ondoa hofu kwa kila mmoja wetu BABA mwema.
ASANTE maana utatutendea sawa na mapenzi yako,Ondoa vikwazo na changamoto zinazoweza kutuweka mbali nawe.
Katika jina la YESU mpatanishi na mwokozi wetu Amen.
MUWE NA SIKU NJEMA WAPENDWA WANGU[emoji7] [emoji7] MBARIKIWE
Ujumbe mzuri sana Wanaume watakuwa wameusikia ubarikiwe mkuuUJUMBE MUHIMU KWA WANAUME WOTE.
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na:
1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema.
2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao BALI kwa idadi ya wanawake aliowaambia "Mimi ni mume wa mtu" au ninae mtu tayari.
3. Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wamaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao"
4. Kila mwanamke anavutia akivaa nguo fupi inayoonesha maungo yake wazi, ila kama utakuta mwanamke amevaa nguo ndefu au za kusitiri mwili wake na bado anavutia, huyu ni dhahabu! Anathamini mali za mumewe!
5. Kamwe usimpe mwanamke mimba ya mtoto kabla hujampa mimba ya malengo na ukayatimiza.
6. Tafuta mwanamke ambae atakupa changamoto za maisha na kuongeza uwezo wako wa kufikiri na sio mwanamke wa kila kitu Ndio mzee!
7. Wanawake wakamilifu hawapatikani popote duniani, ila wanawake bora wapo kila mahali.
8. Mwanamke anaweza kukusaliti, ila Mungu hawezi kukusaliti, hivyo basi kabla hujapata mwanamke Mpate Mungu kwanza. Kuna raha sana kuwa ndani ya Mungu asikwambie mtu!
9. Kama unajijua umefikisha miaka 25 na kuendelea epuka mambo ya kivulana, kuvaa suruali katikati ya makalio, kuvaa hereni, kubadili badili wanawake kama unachambua mitumba ya karume etc
10. Usitumie kichwa chako kunyoa kiduku, tumia kichwa chako kuwaza mambo yenye tija ikiwemo kutafuta pesa na kuongeza hazina yako ya baadae.
picha ya kwanza nimeipenda aisee Mungu amlaze mahali pema peponi Ally Yanga [emoji120] nishazoea kuona picha zake za masizi tu
Picha zinasisimua
RIP mwanajangwani mwenzetu
.
.
.
Juzijuzi tu Simba wamempoteza shabiki wao wa kike kwenye ajali ya Jonas Mkude
So sad
.......
Asante Mussolin kwa historia na Baloz kwa kuweka picha mbarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Hope uko poaana kwako pia Baba D wa shunii
Bas sawa majukumu mema comradeKabisa kabisaa
Niko poaa ....mbona utaipenda tuuu bado hii trellaBaba D umeamkaje lakini asante sana kwa story namuonea huruma huyu kaka masikini
[emoji4] [emoji4] [emoji4]binamu nimecheka sana aisee hasira za mlipuko eti labda ni hiyo mimba changa binamu
Nipo poa sana Baba D hofu kwakoHope uko poaa
EwaaaaaaaahNa ndio kilichotokea
Ila imeishia vibaya bora ungemalizia hapo kwenye simu tu jamaanNiko poaa ....mbona utaipenda tuuu bado hii trella
NilijuaaaaAsanteee
Weeeee apo utaipenda liniiiiIla imeishia vibaya bora ungemalizia hapo kwenye simu tu jamaan
hahahaha acha niendelee tu kuipenda beer hakuna namna Baba DNilijuaaaa
Ngoja aje nimtoe ofa binamu yangu kipenzi[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Leo mtoe ofa
Ok mpenziiiNipo poa sana Baba D hofu kwako
nitaipenda lini nini tenaWeeeee apo utaipenda liniiii
[emoji259] [emoji254] [emoji257] [emoji259] [emoji253] [emoji255] [emoji8]Ok mpenziii
Marahaba mwanangu za uzima za kuamshwa ubarikiweShikamoo Mama
Uuuuwaaaaaaaooooooh[emoji259] [emoji254] [emoji257] [emoji259] [emoji253] [emoji255] [emoji8]