Brazil uwepo wa Cafu ndo ulimweka benchi
Ile mechi Arsenal hawawezi kuisahau maana hadi leo hawajawahi tena kugusa japo nusu fainali ..furaha yao siku hizi ni kushiriki tu
Nakumbuka
Jens Lehmann alochezea umeme mwanzoni kabisa ya kipindi cha kwanza hivyo timu kuwa 10 muda mrefu
.....