Makapuku Forum

Nimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa tayar kwenda kwa majukumu ya kujenga Taifa...Nikafika ofisin nikawa naongea na binti mmoja mfanyakazi hapo yeye akiwa amekaa mimi nikiwa nimesimama sasa yule binti akawa aniangalii machoni aongei na mimi kama siku zote...Nikaenda kwenye ofisi ingine kuna mchanganyiko wa staff wengi wao wakiwa ni wanawake..Tukawa tunadiscuss jambo fulani lililo nilazimu niende kutoa ufafanuzi kwenye Flip chart...Nikaona minong'ono mingi ya chini chini...Nikamaliza nilichukua nafafanua nikafungua mlango kuelekea ofisini kwangu..Ile nafungua mlango staff mmoja mwanaume tuliozoeana akanifuata akaniambia Mkuu zipi ya suruali iko wazi,ndiyo maana wakina mama kule ndani walishindwa ku-concetrate na ulichokua unaongea....OK NDIYO ASUBUHI YANGU ILIVYOANZA KWA AIBU HIVYO ILA MAADAM WOTE TU WATU WAZIMA HAKUNA SHIDA SANA....ASUBUHI YAKO IMEANZAJE SIKU YA LEO?
 
Asubuhi yangu japo haijawa mbaya ila kikubwa nimechelewa kufika ofisini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…