Makapuku Forum

Kumbe waanzilishi ni Wamarekani!
 
1953 - Julius na Ethel Roseborg wananyongwa huko Sing Sing jijini New York kwa kosa la kufanya ujasusi kwa Urusi dhidi ya Marekani.

Adhabu yao waliyopeqa ni kuuawa kwa kutumia electric chair na siyo kunyongwa labda km walibadilishiwa staili ya kuuawa
Makosa yao mengi yalihusiana na Cold War
.......
 
KUTOKA 14

14.Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya

Mungu Baba Mwenyezi asante kwa kutuamsha salama asante kutupa uhai asante kwa yote unayotutendea wewe ni Ebenezer hakuna kama wewe..naomba utupe kibali tupone ,tusafiri,bariki kazi za mikono yetu ...wabariki wote mahali hapa waweze kuona ukuu wako..asante sababu unatupigania..tunanyamaza kimya maana matendo yako ni makuu

Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen

MUWE NA SIKU NJEMA YENYE BARAKA
 
So sad RIP ,POLENI NDUGU JAMAA MARAFIKI

Vijana tujitahidi sana kuwa wazi kwa wazazi wetu,kuwa karibu na huduma za kiroho maisha ni magumu lakini je tunajua tunakoenda tukifa?are we ready?Mungu atusaidie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…