Kuachwa Kuachwa...yanini nione choyo au donge kwa jina lako kuandikwa mkononi tena kwa kalamu ya wino. Pale tu kenda kukoga jina likapotea. Lingeandikwa moyoni hapo ungekuwa na ubavu wa kunituhumu.
Unajua kuachika na kukataliwa ni mtihani sana. Vumilia
Una uhakika[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela bhana
Ndio hivyo
huyo anachanganya na mukongo ujue[emoji134] [emoji134] [emoji134] uwiii akukute Mukongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatujakubaliana awe mke au mimi niwe mume. Tupo tunahangout ikitokea tuktoka ni with benefit no string attached
Nasuburia kwa hamu nawewe akuchole kwa kiganja chake...yanini nione choyo au donge kwa jina lako kuandikwa mkononi tena kwa kalamu ya wino. Pale tu kenda kukoga jina likapotea. Lingeandikwa moyoni hapo ungekuwa na ubavu wa kunituhumu.
Unajua kuachika na kukataliwa ni mtihani sana. Vumilia
nyimbo ya mapacha watatu imfikie popote alipoKuachwa Kuachwa
Samahani huyo bh ninani afu mama mchuchu si ndio mke wa binamu yako kabla ya husna [emoji3][emoji3]
Inshalah nitapata wakunipenda kweli shemela[emoji120] [emoji120] [emoji120] asante shemela huenda haikuwa ridhiki yko
Amepagawahivi eenh kaa hapo hapo
Hayapo siku hizi[emoji23] [emoji23] hivi mambo ya kiapo bado yapo dunia hii
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] karibia itie nangaHaya subiri meli airport
shemela achana na kuachwa ghafla unaweza chizika bora upewe taarifa bwana me naona kila mtu aendelee na ustaarabu wakeAmepagawa
nani huyo binamu
[emoji144] [emoji144] [emoji144]hivi eenh kaa hapo hapo
na me nakuombea utapata wa kufanana naeInshalah nitapata wakunipenda kweli shemela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu ujue vibaya hivyoBH hajawahi kunikubali, yaani namuimbishaga daily kama news. Hajawahi kunielewa sasa sina hakika kama Husna atanielewa, mind you, Husna yuko singoland sasa
Leo yamekuwa hayoNasuburia kwa hamu nawewe akuchole kwa kiganja chake
Maana huyu mrembo kwa kutugonganisha hajambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kuachwa kutakuwa kumemvhanganya shemelahuyo anachanganya na mukongo ujue
Hii nyimbo aisikilize vizurinyimbo ya mapacha watatu imfikie popote alipo
pale mnapoachana sasa kila mtu anamponda mwenzie ebu achaneni kimya kimya kila mtu aendelee na ustaarabu wakeNasuburia kwa hamu nawewe akuchole kwa kiganja chake
Maana huyu mrembo kwa kutugonganisha hajambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]