Makapuku Forum

Kesi imeisha
 
Kwaiyo alivyo niandika kwenye mkono wake ulionaga choyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]


...yanini nione choyo au donge kwa jina lako kuandikwa mkononi tena kwa kalamu ya wino. Pale tu kenda kukoga jina likapotea. Lingeandikwa moyoni hapo ungekuwa na ubavu wa kunituhumu.

Unajua kuachika na kukataliwa ni mtihani sana. Vumilia
 
Nipo mkuu. Umerudi umekuta ushapigwa chini akina binamu bila aibu wameshajitwalia mke. Ndo dunia hiyo. Piga moyo konde na usonge mbele. Kuna Aganza waambie mabosi wa hapa wakuunganishe [emoji23][emoji23][emoji23]
AGANZA duuh huyo mi simuwezi bora niwe bachelor[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…