hapana aisee shanga 700 za nini mtu avae mbili au moja si mauchafu hayo
mida hiyo mbona mibovu sana jamaan utafanya watu tuwe tunasinzia kusubili storyUsijifanyee hujuii ..wewe si ndo umemuwekea D tomm na jerry kwenye pc
Njia mkabaraaaaaKilichonichekesha ni kuwa yaani unajifanya kabisa kama hukuwa na ushawishi makinika kwa kuahirishwa kwa safari yake kwangu.
anyway, sasa umeshanifunshisha kuhusu pm, nitakuwa namfuata huko huko nasingizia kuumwa aje anitembelee, yaani kitu kimya kimya bila vibration
hahahhah binamuKilichonichekesha ni kuwa yaani unajifanya kabisa kama hukuwa na ushawishi makinika kwa kuahirishwa kwa safari yake kwangu.
anyway, sasa umeshanifunshisha kuhusu pm, nitakuwa namfuata huko huko nasingizia kuumwa aje anitembelee, yaani kitu kimya kimya bila vibration
Wengine huwa na mzigo aiseehapana aisee shanga 700 za nini mtu avae mbili au moja si mauchafu hayo
UmeonaaDa,hadi hurumaaaaa
Jiongeze shemelaBaba D hizo zote za nini hivyo
mtihani huo shemelaHakuna kulala
Vidumeee haswaaatunajua ni kweli binamu hongereni sana vidume vya mbegu nyie
hizo za nini binamu kwangu...mbona anko anasema huwa unazo 30-40? au hakuwa anahesabu zako😵 maana anko wanggu mwanamahesabu sana japo huwa anajichanganya anashindwa kutofautisha kipeo na kipeuo cha S na CM nadhani
na kujitesa shemela hivi za nini kweliii ujue ukute wapo wa kuweka mizigo ya hivyoWengine huwa na mzigo aisee
Niko vizur uku kama sio 30 kule ni 40 na vice versa mtaa wa tatu ni true...mbona anko anasema huwa unazo 30-40? au hakuwa anahesabu zako😵 maana anko wanggu mwanamahesabu sana japo huwa anajichanganya anashindwa kutofautisha kipeo na kipeuo cha S na CM nadhani
shemela sina cha kujiongeza kama anafata kama za binamu afate tu vingine sio vya kuigaJiongeze shemela
Ayaa ntajitahidiimida hiyo mbona mibovu sana jamaan utafanya watu tuwe tunasinzia kusubili story
sanaaaaVidumeee haswaaa