Makapuku Forum

Pole na TANESCO nadhani ni tatizo kubwq huku kwetu sijui kama wametuacha salama ni kuzima na kuwasha mara umeme kuwa mdogooo na kurudi ghafla tena...tuombe uwe umetulia sasa.

RIP Chiku na mtoto so sad mama na mtoto kupotea pamoja tena kwenye hospitali kongwe hadi uzazi unakuwa tishio kwa wanaotafuta watoto..Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja Mzee Yusuph, ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito .

Asante kwa ratiba na mambo ya michezo mkuu Nyagei kazi yako ni njema ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…