Nimekumbuka siku moja nipo bahari kuu zanzibar maeneo ya paje, saa saba mchana naelekea baharini, ile kufika tu nikakutana na mzee mmoja akaniambia kijana unafuata nini huku,Nini mkuu..!
Sometimes huwa unashindwa kunielewa eeh?
Nawe pia mkuu usiku mwemaUsiku mwema wakuu
Nawe pia ubarikiweUsiku mwema wakuu
Mara nyingi codes hakuna mtu mmoja anayekuwa sahihi kuliko mngine maana ni fumbo kama alivyo binadamu alivyo fumbo kuna sehemu wazi ikiyofichika huru na siri kwa sehemu tatu zinahitaji ushirikishaji mrejesho na uwazi ila ya nne ni hadi Mungu aingilie kati yale mambo ambayo Mungu mwenyewe Ana namna ya kuyafungua na kuyaonesha hutokea ghafla bila kupanga wala kujua yanahitaji dhamiri na imaniHii iko hivi;
Jamaa ni mtumiaji wa vilevi ( hasa sigara) kama picha ilivyo.
Mtumiaji wa kilevi anatumia bila kujua athari ambazo zinampata yeye.
Nje ya mwili anaona moshi na anahisi yuko salama ila ndani ya mwili kuna bomu linajitengeneza..
Haina tofauti na zile baruti za kutumia tambi/ yaani explosion inakuwa ipo mahali theni source of fire inatokea mbali...
Hiki ndicho kinachoendele hapa..
I stand to be corrected
Boss unajikana?Cc:
Shem shunie...
Ninyi ndio mpo Dar..
Natumai sasa sio mweupe tenaNimekumbuka siku moja nipo bahari kuu zanzibar maeneo ya paje, saa saba mchana naelekea baharini, ile kufika tu nikakutana na mzee mmoja akaniambia kijana unafuata nini huku,
Nikamjibu nimekuja kutembea tu, akaniambia rudi haraka sana haya maeneo sio mazuri kwako nakuona uko mweupe mpaka matakoni, watakumaliza wewe
Nilirudi kwa speed sana, maana yake mimi sikuwa hata na chale yoyote ile
Baharini ni baharini mkuu
Next week nitakuwa kizimkazi kwenye dorofini
AmenMITHALI 1
32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza
33 Bali kila anisikikizaye atakaa salama Naye atatulia bila kuogopa mabaya
NAWATAKIA USIKU NWEMA MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KWA NYUMBA ZOTE NA VITANDA VYETU VIZUNGUKWE DAMU YA YESU ITUFUNIKE MLALE SALAMA MBARIKIWE
Usiku mwema wakuu
Haaaaahaaaa, bado ni mweupeNatumai sasa sio mweupe tena
Ulale salama mkuu
AmenMITHALI 1
32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza
33 Bali kila anisikikizaye atakaa salama Naye atatulia bila kuogopa mabaya
NAWATAKIA USIKU NWEMA MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KWA NYUMBA ZOTE NA VITANDA VYETU VIZUNGUKWE DAMU YA YESU ITUFUNIKE MLALE SALAMA MBARIKIWE
Unapakumbuka IgawiloHahahaha
Kumbe hujalala?Haaaaahaaaa, bado ni mweupe
Walitoa taarifa tangu tarehe 6 officialWamechelewa kutoa taarifa, tangu kama wiki moja hivi iliyopita hali ya hewa hasa upepo ukanda wa pwani ya bahari ya hindi Kuna upepo mkali sana, japo mwezi wa saba utakuwa zaidi ya huu wa sasa, hata jet za azam zinapata shida kipindi hiki
Inategemea na maisha unayoishi
Bado, ndiyo nimeingia kibaha mkoani sasa hiviUnapakumbuka Igawilo
Kumbe hujalala?
OK, AsanteWalitoa taarifa tangu tarehe 6 official