Ni kweli mdau
Mi mwenyewe
Did You Know ni rahisi kupost
Ila nikitaka kuleta 10 kubwa huwa najipanga na kijasho hunitoka na kutumia masaa hata 2+ mara chache sifikishi masaa mawili
Na kumsaidia Dikteta pia ngumu balaa
Kuandaa makala ni tofauti na kupiga mastori....unaweka tu hata emoji
........