Makapuku Forum

Asante kwa nukuu mkuu transcend
 
1933 - Kansas City Massacre: Makachero wanne wa FBI na mhalifu mmoja Frank Nash wanauwawa na kundi la Wahalifu liliongozwa na Mhalifu sugu Pretty Boy Floyd.

Hii ni baada ya FBI kumkamata Frank Nash na Pretty Boy kuja na kundi lake kwa kujaribu kumuokoa Nash.

Baada ya tukio hili kulitokea mabadiliko makubwa ndani ya FBI hasa kwa Makachero wake kuanza kutembea na silaha muda wote ili kuweza kupambana na Magenge ya kihalifu yaliyotikisa miaka hiyo.

Na hapo ndipo mwanzo wa kuibuka kwa Katili wa FBI, J. Edgar Hoover na kudili ipasavyo na magenge hayo hatari.
 
Aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…