Makapuku Forum

Namba 08..

Kesi ya 'Ndama mtoto wa Ng'ombe" imeahirishwa hadi July 20 2017 ushahidi haujakamilika, ni kwa yale makosa mengine matano

Jamaa alitumia akili sana kukubali kosa na watu walimshangaa sana, lakini alijua akikubali adhabu yake ni kifungo au kulipa faini, badala ya kukana kosa unakaa mahabusu miaka hata mitano, hiyo ni adhabu tosha, sasa yeye akakiri na akapewa adhabu ya kifungo au alipe faini ya 200,000,000. Akalipa faini na kesi ikaisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…