Aisee10/Lin Yu ChihAnezaliwa mwaka 1972
Alishikilia rekodi ya mtu mfupi zaidi duniani hadi mwaka 2009 rekodi yake ilipopata mbabe
Ni raia wa Taiwani kutokea jijini Taipei
Ufupi wake umesababishwa na Osteogenesis Imperfects ni ugonjwa unaoathiri ukuaji wa mifupa
Hivyo kutokana na ugonjwa wake akachukuliwa kama subject kwa wagonjwa wengine
Ni mwandishi/mtunzi na pia ndiye Mwanzilishi wa Ostegenesis Imperfecta Foundation
Ana urefu wa Am 67.5 yaani inch 26.6
.......
Umeona ee ShemDon't let them bully you Shem. Kila inapowezekana fight back. Usitishwe na makelele ya mara baba D wala nini. Ni makelele tu hayo Shem. Sasa anakuita Husna ya Shimba wewe ukimuita mzee wa totoz moto unawaka. ...
Mbona sipat jibu shem kwa naniLeave my Shem alone muzee ya Totoz
Atakuwa anajua, hawezi tu kujisemeaAnajua km unamsubiri?!
Leo Obe sio wa mwisho kujua, ila Lee ndio kawa wa mwishoNa mm binamu naona replay humu sijui kuna walio iga au ..tujuzanee
Ahaaaaaaah mm mutu ya peremendeDon't let them bully you Shem. Kila inapowezekana fight back. Usitishwe na makelele ya mara baba D wala nini. Ni makelele tu hayo Shem. Sasa anakuita Husna ya Shimba wewe ukimuita mzee wa totoz moto unawaka. ...
Najua. Nawachokoza tu. Wamempa pesa za mtaji sijui sasa wana-act as if wanammiliki. Ni shida.
Nzuri aganza, karibuHabari za jioni makapuku woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa uongokuna mtu kaniita"husna ya shimba" ndio namshangaa
Aiseeeeh7/Madge Bester
Kazaliwa 1963 na bado anadunda tu
Ndo mshindi wa zamani wa Mwanamke mfupi zaidi duniani
Anazidiwa urefu hata na mtoto wa mwaka mmoja...huyu nae anaugua ugonjwa wa mifupa Osteogenesis imperfect a
Ana urefu wa Sm 65 yaani inchi 26
......
Kweli kabisa ....shimba ya husna kajua ??Leo Obe sio wa mwisho kujua, ila Lee ndio kawa wa mwisho
Ukimsaidia mtu mtaji siyo lazima uutangazie ulimwengu mzima. Yaani kwa vile umemsaidia mtaji ndiyo asitongozwe wala kuwa na maisha yake? Nyie ndiyo mkitajirika mnatesa sana wafanyakazi wenu na kuwa-treat kama vile takataka kisa mna pesa. That's not a way to live and leave this world my friend. Badilika!
Mkuu kuwa wazi kwake mm nilikuwa nakutaarifu msile mtaji wangu
Ngoja kwanza akirudisha mtaji wa watu may be atakuwa huru zaidi. Tusubiri tu kwa sababu hakuna namna
Mwambie km unamsubiri Shem
Ili ajue
Ukimsaidia mtu mtaji siyo lazima uutangazie ulimwengu mzima. Yaani kwa vile umemsaidia mtaji ndiyo asitongozwe wala kuwa na maisha yake? Nyie ndiyo mkitajirika mnatesa sana wafanyakazi wenu na kuwa-treat kama vile takataka kisa mna pesa. That's not a way to live and leave this world my friend. Badilika!
Ngoja ngojaa utakuta aganza sio wakoNgoja kwanza akirudisha mtaji wa watu may be atakuwa huru zaidi. Tusubiri tu kwa sababu hakuna namna
Kazi ya Mungu haina makosa na kila mtu kaumbwa kwa mfano wake yeye6/Lucia Zarate
Alizaliwa huko Mexico mnamo mwaka 1864
Aliingizwa kwenye kitabu cha Guinness wakati akiwa na umri wa miaka 17
Akiwa na umri wa mwaka mmoja Alikuwa tayari na urefu wa inchi 24
Alifariki 1890 akiwa na miaka 26
Urefu wake ulikuwa ni Sm 61 yaani inchi 24
.......