Ha ha ha nilikuona unazunguka kama pia kule jikoni ila wewe kiboko yule mhudumu nasikia kaja jana unataka usajili wa namba E kabisaa. ..ila kumbuka hii vita sikuteteii make yule mhudum nayemtaniaga profesa wako kwa kuvaa miwan kidogo ashtukie ila nikampozaa
Mm bado nipo na usajili wangu mpya DXY ...CM namba nimedaiivet kwakoo
Binamu ule mkwara niliowachimbaa weee achaa hivi kwanza ile tai uliniokoteaa wapiii make lisinfekuwa koti lile lakoo sijuii make shsrt mikono mifupii na tai wap na wapHa hahahahahaha!
Hivi wale madada wahamiaji haramu uliojitangaza kuwa wewe ni afisa wa uhamiaji hukufyatua nao kweli hawa watoto😀😀😀
IshafikaaaHumu naona ndo kumekucha!!!
Au ndo furahiday imefika
Szielewiii big bossy au tumpotezeeDuh bosi anasemaje?
Mi sinA usingizi ngoja niwalindie Uzi wenu usiibiwe
Hata me naona,shem ajambo lakinIshafikaaa
Bhinamu fanyaga mppango ulidondoshee 1 day ...bia hiz et naandika kizungu na hapo ndo ntakupeleka chimbo lile la chin kwa mwenza wake CMAcha tu anko, kule kitchen ilikuwa shida, tutateta maana huu usajiri mwaka huu bila MO na Manji kuingilia lazima uwe na wake wanne mjombaangu si wa kispoti..
Turudi kwenye lile goma la Kolza Wangu baba! Lile kaimba Chezi Ntemba na Defau usimsahau na Suke Chile, nitalipandisha siku moja hapa
Mwambie asihofu ! Tutazidi kuonanaSzielewiii big bossy au tumpotezee
Binamu ule mkwara niliowachimbaa weee achaa hivi kwanza ile tai uliniokoteaa wapiii make lisinfekuwa koti lile lakoo sijuii make shsrt mikono mifupii na tai wap na wap
Sasa kale kanakofanana na mnyarwanda ndo nilikachukua maelezo ya kutosha ...
Ila yule uliyenituma nikuchekie uwezekano wa usajili wa mda ana mapengo nkatemana nae
Itakuwaa...ni kuwa tu huna usingizi au scania za kitandani aka bedbugs almaarufu kunguni
Itakuwa poaMwambie asihofu ! Tutazidi kuonana
Mwambie asihofu ! Tutazidi kuonana
Mzima kabisa japo leo nahis sitorud home ila mzma kabisaHata me naona,shem ajambo lakin
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Itakuwa poa
Bhinamu fanyaga mppango ulidondoshee 1 day ...bia hiz et naandika kizungu na hapo ndo ntakupeleka chimbo lile la chin kwa mwenza wake CM
Ooho..!!! kwanin, uwez kurudi home kamandaMzima kabisa japo leo nahis sitorud home ila mzma kabisa
Mzima kabisa japo leo nahis sitorud home ila mzma kabisa
Yule nilivomsoma na zile mbinu zako nkaonaa huyu atasumbua asije akakata propela au sentabiliiiitiii ikawa kes niachie mnyarwandaSi unazijua hizi tai zetu sisi waMormon, ziko nyingi tu anok.
Ulifanya vizri kumtema yule bhana angekubemenda tu anko wangu
Au w[emoji58] aonajee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa sawaAu w[emoji58] aonajee
Asante sana Obe ubarikiwe uaiku mwema [emoji120]