As usual ni utani tu babe. Nothing serious. Na utani ukizidi tunakanyana, yanakwisha na tunasonga mbele. Principle hii rahisi ndiyo inaifanya Makapuku iendelee kustawi. Kwingine kule ukiwa na bifu na mtu ni bifu kweli kweli japo hata hamjuani. Samahani kama nimekukwaza shemu. Sometimes I can be too much...