2/
Botswana
Huyu ndo mzalishaji mkubwa wa almasi barani Afrika
Siyo tu kuzalisha almasi bali pia nchi ina viongozi wazalendo haswa ambao hutumia vizuri rasilimali za madini na utalii(pundamilia ndo nembo yao) kuleta maendeleo
Huko pia
De Beers wapo kama kawa ila unyonywaji sio mkubwa
Migodi mikuu ni Orapa na Jwameng
Kwa mwaka huzalisha almasi Carats 23,000,000
........