Connection siyo kwamba ni nguvu ya uvutano tu huyu mkubwa anamvuta huyu, huyu naye anamvuta huyu?
Niko interested sana na mambo haya kwani kupitia kwayo huwa nauona utukufu na uwezo wa Mungu live; na huwa hainiingii akilini kabisa kuwa mifumo yote hii tata na iliyopangwa kwa ustadi wa ajabu eti imetokea tu by chance!