Makapuku Forum

2/Australia
Hii ndo nchi pekee duniani ambayo pia ni bara
Dhahabu hupatikana kwa wingi huko Perth
Mgodi mkubwa na maarufu ni Golden Mile
Dhahabu huwaingizia Australia USD 14 bilioni kila mwaka
Wana hazina/akiba ardhini ya Tani 7,400 za dhahabu
Australia huzalisha dhahabu takribani Kg 270,000 kwa mwaka
.........
 
Kwao Mark Viduka
 
3/[USA
Hawa nao wapo
Dhahabu linapatikana kwa wingi huko Las Vegas na Nevada
Dhahabu nyingi imehifadhiwa kwenye mavault huko New York City,Fort and Knox
Kwa mwaka huzalisha dhahabu Kg 237,000
........
Hawa jamaa wana karibu kila kitu vikiwemo mafuta, Uranium na madini mengine adimu. Tatizo lao ni kwamba hawataki kuchimba na hata kutumia ya kwao. Yao wanaweka akiba for the rainy day(s) huko mbele ya safari na kazi yao ni kuchukua ya wengine ikibidi kwa nguvu. Fort Knox kule nasikia wana dhahabu kibao na ndiyo hasa nguvu ya uchumi wao.
 
1/China Huyu ndo baba wa uzalislhaji wa dhahabu duniani
Siyo tu kuzalisha bali pia anaitumia rasilimali zake vilivyo kuleta maendeleo kwa wananchi wake.....hakuna mikatahba ya kiMangungo wala upuuzi wa akina Acacia
Dhahabu inapatikana kwa wingi Shadong Province ambako ndo kuna reli ya Beijing hadi Shanghai
China ina hazina ya dhahabu isiyochimbwa Tani 1,900
Dhahabu yote inasimamiwa na serikali kupitia China National Gold Group
China huzalisha takribani Kg 255,000 za dhahabu kwa nwaka
.
.
.
.
.
.

Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........

 
Asante mkuu nazidi kuelimika tu
 
Asante Bitoz
 
Lazima wana siri na kitu fulani
 
Asante kwa kumi kubwa bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…