Makapuku Forum

Kumbuka tu JK na Mkapa cheo chao ni Marais wastaafu siyo Mawaziri wadtaafu
Katiba inawalinda marais wastaafu
.........
Hii vita ni ngumu wapendwa. Wakiamua kufukua makaburi hakuna atakayebaki salama. Ila tukiipigana vizuri na kuweza kujitoa katika mamikataba haya ya kishetani, na tukaweza kuyatumia madini yetu haya kwa shughuli za kimaendeleo, tutaweza kupiga hatua za maana sana.
 
waniache aisee na Baba D wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…