Makapuku Forum

Basi wewe mtani wangu hamna neno.... Hofu yangu kupitia mgongo wangu usiwakwaze wengine bagheshi..... Ulihaya kinehe
 
Mungu wangu
mambo ya kurekebisha kazi ya mikono ya Mungu

Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Wengine hukimbilia Colombia na Mexico ambako bei ya operesheni hizi ni ndogo. Tatizo huko sasa madaktari wengine ni makanjanja na matokeo yake ndiyo haya. Wengine wanapoteza mpaka maisha. Nitakuwekea hapa katika stupid criminals kesi moja ya kushangaza sana na mabinti kama watano walifariki wakijaribu kuongeza makalio. Ni shida!
 
Aseee Leo umenikosha kupita siku zote hiki kibao nakipenda tangu Niko mtoto mpaka Leo hii
 
Basi wewe mtani wangu hamna neno.... Hofu yangu kupitia mgongo wangu usiwakwaze wengine bagheshi..... Ulihaya kinehe
Umeelewa lakini "kimombo" cha Kolomije hicho? Wewe ni mtani wangu wa wapi? Nilikuwa na bidii sana ya kujifunza lugha na tamaduni za watu kila nilikoenda shule (kasoro Kizaramo nilipokuja kusoma Dar) hivyo usishangae hata lugha yako nikawa naimanya kidogo. I wish ningekuwa najua Kisambaa kidogo nimwongeleshe "dadako" kwa Kisambaa...Nalimhola nkoyi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…