Makapuku Forum

Tangulia tutakuja
 
Jamani eeh...Nimepotelewa na shemeji yangu kipenzi. Husna Muba hajaonekana humu tangu juzi jioni. Shedede naye ndo hivyo haonekani. Wako wapi hawa couple? Waliitetemesha JF juzi juzi hapa leo hii hata mwezi haujaisha wanafifia kwa haraka. Shemeji Husna ukiona meseji hii jitokeze hadharani...

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1251460/
 
Tutapata vipi muda wa kujitambua ikiwa macho na masikio vikiwa vimefungwa na giza la utandawazi
 
Hahaaaaaa. Hii kazi inabidi wanipe tu hakuna namna nyingine, maana mwandiko wangu unamach na mwandiko wao, japo wao hausomeki. naona wameandika lugha ya sayari ya Mars
 
Wako hapa


Wachawi tukutane hapa
 
 
Asubuhi walikuwepo humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…