Makapuku Forum

Hilo katazo limevuka mipaka, mtoto toka anaanza kuongea anazungumza lugha mama kumkataza ni kumnyima uhuru wake labda wakate ndani ya darasa wakati wa vipindi.
 
Wacha uchochezi bagheshi..... Dada ameoza kwa Lee.... Na ana msimamo.
Endelea kupambana kamanda. Hata kama ni kukuna nazi we kuna tu. Tena hawa wa kuoza hawa wakioza wanaoza kweli kweli. Ukifanikiwa kumbadilisha msimamo tu kwisha kazi. Usije ukasahau kuleta mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…