Makapuku Forum

Mkuu ucje ukawa unafuata totoz kwa morombo nackia mrina chehchez wamehamia huko. Tulizana, mimi nilishaacha kabsaa
Mtumish maadam umejaribu kunichafua hadharani yakubidi utoke tena hadharani kunisafisha mkuu...Totoz tena na unasema wazi kiasi kwamba hata my amaizing anaona..Please nitake radhi asee..Kwa Mrombo tunaendaga watu kama 6 tunapoteza uhai wa mbuzi 1..watu tunarud home hakuna zaidi..
 
Sjakutuhumu bali nimesema isiwe hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…