Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duh!,watu wamekula maisha aisee.
Mimi hata miaka 40 sina uhakika.
1461666507406.jpg
 
Njere's mbunge Joshua hakauki labda kwa sasa yuko bungeni, vp kwa donii usa?
Kabisa ni chocho ya Dogo janja ile, kwa Dony wameleta uswahili baada ya kupata jina kubwa sana kuwa wao ndiyo wanachoma nyama nzuri sana..Wakalewa sifa si kiivyo sana siku hizi...Sehemu kidogo ambayo haijachuja bado ni Rotterdam wanachoma kuku kienyeji matata sana pale...Ukikosa kuku Lenana usijute kuchoma wese mpaka kwa Don hutojutia mafuta yako..
 
Mkuu nilipamis ar kiasi, vipi twende hata kwa mrombo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom