Makapuku Forum

Nipo shemeji

Nakuaminiaa
 
Weee cheka tu, nitaibuka na kitu cha hatari hadi BH akubali kuwa mke wa tatu, yaani aje ananililia, usicheze na mpango ninaoukamilisha soon.

Ila BH akinikubali tu, kwanza kabisa naokoka, halafu ninakuwa naye peke yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama mchuchu jaman mama angu ebu ukuje mara moja umsikie binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…