Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baba D asante jamaan ila nimecheka sana [emoji2] [emoji2] kafumania mchumba ake na kupigwa kapigwa mtu umeshaona mchumba ako ana baunsa unakufa na tai shingoni utajua mbele kwa mbele ila mam mtu mbaya sana [emoji23] [emoji23] huyu jamaa kapigwa jamaan kama nimemuona ila pole yake sana kwa kipigo cha baunsa
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mnakomeshana ni nini
 
Back
Top Bottom