Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,861 T 1990 ELY said: Kwema mkuu Zamaulid Click to expand... Kwema kabisa kijibaridi tu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #20,862 jambilo said: Tubu dhambi ya kunisingizia Click to expand... Nimeona sana mambo yako humu mtumishi. Acha hizo
jambilo said: Tubu dhambi ya kunisingizia Click to expand... Nimeona sana mambo yako humu mtumishi. Acha hizo
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Apr 26, 2016 #20,863 Zamaulid said: Undugu wetu unaanzia kwenye kitovu kuja juu Click to expand... Hapa sasa umeelewaka vizur sana so kuanzia chini ya kitovu hakuna msalia mtume...Jibu lako alione pia Jimena
Zamaulid said: Undugu wetu unaanzia kwenye kitovu kuja juu Click to expand... Hapa sasa umeelewaka vizur sana so kuanzia chini ya kitovu hakuna msalia mtume...Jibu lako alione pia Jimena
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,864 T 1990 ELY said: Pamoja sana mkuu Karibu tule chakula cha mchana Click to expand... Du...wengine hicho hakipandi...labda cha usiku
T 1990 ELY said: Pamoja sana mkuu Karibu tule chakula cha mchana Click to expand... Du...wengine hicho hakipandi...labda cha usiku
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #20,865 Zamaulid said: Asante wengine yatosha wawe dadazenu tu.... Click to expand... kazi kwako
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Apr 26, 2016 #20,866 Zamaulid said: Kwema kabisa kijibaridi tu Click to expand... Kijibaridi hujui kuwa leo ni siku ya sikukuu ya muungano? Hujaungana mkuu Zamaulid
Zamaulid said: Kwema kabisa kijibaridi tu Click to expand... Kijibaridi hujui kuwa leo ni siku ya sikukuu ya muungano? Hujaungana mkuu Zamaulid
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 26, 2016 #20,867 manuu said: Hahhaahah siku hizi pamechoka tangu lile bomu ile mizigo iliyokuwa inavuta tela nyuma hakuna tena..Wengi wameamia Mile Stone... Click to expand... Milestone hakuna parking mkuu, hivi pale ngaramtoni ya chini kabla hujafika tembo club ya kisongo, pale kati kulia wanaita sundown au?
manuu said: Hahhaahah siku hizi pamechoka tangu lile bomu ile mizigo iliyokuwa inavuta tela nyuma hakuna tena..Wengi wameamia Mile Stone... Click to expand... Milestone hakuna parking mkuu, hivi pale ngaramtoni ya chini kabla hujafika tembo club ya kisongo, pale kati kulia wanaita sundown au?
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,868 Jimena said: Kodi kwenye ndoa??? Noti raiti Click to expand... Ni kipato halal hicho lazima kilipiwe kodi
Jimena said: Kodi kwenye ndoa??? Noti raiti Click to expand... Ni kipato halal hicho lazima kilipiwe kodi
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Apr 26, 2016 #20,869 Zamaulid said: Du...wengine hicho hakipandi...labda cha usiku Click to expand... Hahaha yaani wewe zamaulid Chakula cha usiku Huwaga unapenda kula chakula cha aina gani?
Zamaulid said: Du...wengine hicho hakipandi...labda cha usiku Click to expand... Hahaha yaani wewe zamaulid Chakula cha usiku Huwaga unapenda kula chakula cha aina gani?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 26, 2016 #20,870 Th Name said: Nimeona sana mambo yako humu mtumishi. Acha hizo Click to expand... Tofautisha utani na uhalisia
Th Name said: Nimeona sana mambo yako humu mtumishi. Acha hizo Click to expand... Tofautisha utani na uhalisia
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #20,871 jambilo said: Tofautisha utani na uhalisia Click to expand... Basi na mimi nimefanya utani
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 26, 2016 #20,872 Th Name said: Basi na mimi nimefanya utani Click to expand...
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,873 manuu said: Hapa sasa umeelewaka vizur sana so kuanzia chini ya kitovu hakuna msalia mtume...Jibu lako alione pia Jimena Click to expand... Te te te Jimena njoo uone ufafanuzi wa manuu
manuu said: Hapa sasa umeelewaka vizur sana so kuanzia chini ya kitovu hakuna msalia mtume...Jibu lako alione pia Jimena Click to expand... Te te te Jimena njoo uone ufafanuzi wa manuu
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,874 Th Name said: kazi kwako Click to expand... Nitauza shamba langu huku kisarawe nifanikishe
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 26, 2016 #20,875 manuu said: Hapa sasa umeelewaka vizur sana so kuanzia chini ya kitovu hakuna msalia mtume...Jibu lako alione pia Jimena Click to expand...
manuu said: Hapa sasa umeelewaka vizur sana so kuanzia chini ya kitovu hakuna msalia mtume...Jibu lako alione pia Jimena Click to expand...
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #20,876 Zamaulid said: Nitauza shamba langu huku kisarawe nifanikishe Click to expand... Kila LA kheri
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,877 T 1990 ELY said: Kijibaridi hujui kuwa leo ni siku ya sikukuu ya muungano? Hujaungana mkuu Zamaulid Click to expand... Ndo niko kwenye harakati
T 1990 ELY said: Kijibaridi hujui kuwa leo ni siku ya sikukuu ya muungano? Hujaungana mkuu Zamaulid Click to expand... Ndo niko kwenye harakati
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 26, 2016 #20,878 Zamaulid said: Ni kipato halal hicho lazima kilipiwe kodi Click to expand... Siungi mkono hoja
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 26, 2016 #20,879 Zamaulid said: Te te te Jimena njoo uone ufafanuzi wa manuu Click to expand... Sielewi Hivi nini kinaendelea humu??
Zamaulid said: Te te te Jimena njoo uone ufafanuzi wa manuu Click to expand... Sielewi Hivi nini kinaendelea humu??
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Apr 26, 2016 #20,880 T 1990 ELY said: Hahaha yaani wewe zamaulid Chakula cha usiku Huwaga unapenda kula chakula cha aina gani? Click to expand... Mkuu kisu cha bucha hakichagui ng'ombe....mi bora chakula tu
T 1990 ELY said: Hahaha yaani wewe zamaulid Chakula cha usiku Huwaga unapenda kula chakula cha aina gani? Click to expand... Mkuu kisu cha bucha hakichagui ng'ombe....mi bora chakula tu