Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,417
Kuna kitu nitakueleza siku moja. Nikisahau nikumbushe. Namheshimu Shunie hata nikimkuta anakoga nitajiziba uso na kurudi kinyume nyume. Mark my words...Ameshindwa kama wewe ulivoshindwa
Ila mzee ukibahatika kumkuta shuny kwenye anga zako sijui lazima kesi niikute polisi
Shedede unatamani hasirudi ...mkuu mbona ata aganza anafaaKumbe wote mnatoka sehemu moja. Ndo maana ulitaka kumng'oa nini Mzee wa kung'oa?
Mambo yangu na shemeji pamoja na busara zetu (ulizoziweka kwenye mabano) we ziache tu. Tunajuana wenyewe. Uwe na siku njema yenye mafanikio...
WazimaWazima humu ndani
Ahsante sana mkuuKaribu mkuu
Kumbe na yeye alikuwa.... Kwa hio mke Lee wivu anafanya yeye ha ha ha ha ha ha ha.Ameshindwa kama wewe ulivoshindwa
Ila mzee ukibahatika kumkuta shuny kwenye anga zako sijui lazima kesi niikute polisi
Achana nae kanikera sana kume ni ipogolo ...sio mstaarabBobdon
Yote sawa shimbaKuna nini cha kuchekesha alichosema mng'oaji? Au unacheka tu kwa sababu you are happy to be alive?
Kuna kitu nitakueleza siku moja. Nikisahau nikumbushe. Namheshimu Shunie hata nikimkuta anakoga nitajiziba uso na kurudi kinyume nyume. Mark my words...
Spidi uliyokuja nayo Falcon 9 Rocket with full payload kwenda kwenye International Space Station cha mtoto. Vinginevyo yote uliyosema ni kweli. "Una busara sana!"Huwezi jua kwamba ni mke wa mtu mpaka uambiwe... Na ukiambiwa mpaka uthibitishe.... Ukithibitisha kama wewe ni mstaarabu unaweka heshima..... We mkolomije vp?
Tunajuzanaaa kimtindoAhsante sana mkuu
Sawa bagheshiKumbe wote mnatoka sehemu moja. Ndo maana ulitaka kumng'oa nini Mzee wa kung'oa?
Mambo yangu na shemeji pamoja na busara zetu (ulizoziweka kwenye mabano) we ziache tu. Tunajuana wenyewe. Uwe na siku njema yenye mafanikio...
Karibu mkuu. Unamkumbuka Lee?Wazima humu ndani
Huyu shunie anampasua kichwa mpaka leo usione tu anaongeaaKumbe na yeye alikuwa.... Kwa hio mke Lee wivu anafanya yeye ha ha ha ha ha ha ha.
Nilikosea bagheshi.... Nilikusudia kusema huku kwetu hatuna utaratibu wa kuoa vitrekta.???????
Vitrekta vinauzwaje? Sisi masikini hatuwezi ku-afford hivyo vitrekta. Sisi ni mwendo wa jembe la mkono bageshi...
Wewe ndo hutaki kukata tamaaaSpidi uliyokuja nayo Falcon 9 Rocket with full payload kwenda kwenye International Space Station cha mtoto. Vinginevyo yote uliyosema ni kweli. "Una busara sana!"
Nilikosea bagheshi.... Nilikusudia kusema huku kwetu hatuna utaratibu wa kuoa vitrekta.
Politics is a game of chance. Alijifanya kuitisha uchaguzi akijiamini kabisa lakini naona upepo umembadilikia ghafla. She is wounded and it's only a matter of time hasa kwa hawa wenzetu na mademokrasia yao yaliyokomaa...
Umeongea ukweli ...hakujua kama yangekuwa hivPolitics is a game of chance. Alijifanya kuitisha uchaguzi akijiamini kabisa lakini naona upepo umembadilikia ghafla. She is wounded and it's only a matter of time hasa kwa hawa wenzetu na mademokrasia yao yaliyokomaa...
Ha ha ha ha ha ha ha.... Ukiliweza hilo tutakutilia mashaka uanaume wako.Kuna kitu nitakueleza siku moja. Nikisahau nikumbushe. Namheshimu Shunie hata nikimkuta anakoga nitajiziba uso na kurudi kinyume nyume. Mark my words...