Wala sjaomba nikuhudumie, umepata kiburi baada ya kumshawishi mkeo akukubali japo huna hata pa kulala, niliwaomba waumini wakuchangie kuanzia suti,kodi,mahari hata jiko la mchina, nilikuazima hata kiatu leo umekuwa na kiburi...sawa tu
Mkuu tunataniana lakini tuna mipaka. Maneno ya kuudhi tunauaepuka ndg yangu, kibaya zaidi Valentina anajiheshimu sana kwa posts zake hajawahi udhi mtu.
Nia yangu ni njema ukiwatibua makapuku kwa umoja wao watakushambulia
Mkuu nimetulizana sana cina haja na mke wa mtu, nina mke wangu ninampenda ananipenda, macho yangu hayatamani mwingine wengine rafiki zangu na mashemu na madada tu
cc
Ameizing
Lizzie
Nahrene
Linamo
Ximena
Valentina