Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Nakukata stimu? Kamwite Shedede akupandishie [emoji23][emoji23][emoji23]Oyaa hebu nyamANZAA BANAA
UNAnkata stimu bitoz muache afanye kazi yake
mbona nipo sana kule napajuaTwende zetu ila kule matusi nje nje....
Mie ni msomaji tuu, sinaga mapovu
Kivuruge nakuonaaawozaaaaaa watu na wapenzi wao na me siku maksudi nitaquote [emoji125]
Okay loveBaby...
Usimjibu tena! Usifanye chochote..
Ignore him..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio yakeeesijaelewa kwahiyo hiyo id ni yako
kila siku mpya halaf cha kushangaza majukwaa yote wanayajua anamquote mtu kama anamjua vileYaani
Halafu id mpya ni lundo
Kama wewe tuuila dada we ni mbishiiii [emoji2]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Kivuruge nakuonaaa
hahahha anakuzomea naniKama wewe tuu
Unaweza kuta ananizomea ati
Poambona nipo sana kule napajua
Nakugawaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wahenga walisema "gonga ugongwee"
Bila hata wasi wasikila siku mpya halaf cha kushangaza majukwaa yote wanayajua anamquote mtu kama anamjua vile
Viunga vya lushotohivi shemela uliulizwa ni kwa kina nani [emoji134]
Asante Obe ubarikiweMuziki: Tufurahi na Weekend
Muda mwingine tena Makapuku, na kama kawaida segement hii hukujia mara tu baada ya top 10 za Bitoz. Najua kabisa Ijumaa inaenda vizuri na sasa unajirejesha nyumbani au upo tayari ukijipanga nini ufanye weekend hii. Napenda ufahamu tu kuwa hakuna jambo zuri na lenye afya kama kutumia weekend ukiwa na familia. Kwa sasa niko bar yaani kama padri kanisani au shehe msikitini, hatutofautiani mimi, wewe na wao.
Furahiday sio ya maneno mengi sana, nikija kwako na maneno mengi jua kuwa nataka kukupiga mzinga/mkopo, kitu ambacho si kibaya.
Leo tuangalie reggae kidogo, ni kukumbushana tu mana muziki huu unaujua hata kabla siajuelezea. Hapo tayari ushafikira kina Bob Marley na wenzake, ushaangalia picha yangu na mawazo yako yashakupeleka kwenye kuhusisha reggae na bange. Pole sana.
Tunaangalia reggae laini 'riddim au rhythm' na tunamkuta jamaa anaitwa Eric Donaldson. Huyu ndiye mwimbaji wa kwanza kabisa wa wimbo uliowapa umaarufu UB40 Cherry oh Baby. na kwao Jamaica ana sifa zake nzuri tu zinazomfanya awe kati ya wanamuziki wenye kueleweka na jamii kubwa.
Mimi reggae sio kivile sana huku unavuta jani, yes, kuna tofauti kubwa sana kati ya jani na cocaine, ya pili haijawahi kumwacha mtu salama.
Kupunguza maneno nakuwekea vibao vyote kwa pamoja.na nimezitoa YouTube
Tuwe na weekend njema
Na hapa ni Eric akifanya yake (hii ni video mfu)
Mkewe huyooohahahha anakuzomea nani
sawa alikuuliza ni kwa kina naniiiViunga vya lushoto
Kwa wewe sahau, labda siku hiyo liwake jua jekunduwozaaaaaa watu na wapenzi wao na me siku maksudi nitaquote [emoji125]
Yaaan wewe sijuii umetokaa usingzinEndlea shemela