mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mkuu umekuja.... Afadhali binamu apumue.... Alikuwa ameshaishiwa maneno maskinMkuu hakuna tatizo wala..
Kila mtu anaheshimiwa kaka..
Lakini kuna utani mwingine ni mbaya.
Huwezi kuja kimtukana mtu wakati humjui wala hujui yeye ni nani..
So far wengi humu tunafaamina maisha ya nje ya jf...sasa kama mtu analeta matusi humu sio ustaarabu wala sio heshima..
Otherwise kaa makapuku ujifunze humu watu wanaishi vipi..
Karibu mkuu.
Asante bitoz kwa top ten1/Princess Lalla SALMA
Ana umri wa miaka 39
Ndiye mke wa King Mohammed VI wa Moroko mwenye umri wa miaka 54
Ndiye Mfalme bishoo aliyekuja bongo mwaka jana akiwa na mapozi na macho ya kurembua kiasi watu kumsimanga kwamba ni shoga ila Sizonje alilamba misaada
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
kama unaenda siasani nakujaPouwa
Ngoja nilale kabisaa au niende siasani
Sakayo keshasema yupo na mimi ; its enough..Mimi ni mtu mstaarabu sana kwa watu wastaarabu mrembo Sakayo.
Angekuja kistaarabu ningemuelewa siyo kuleta mambo mengine ambayo siyo.
Kama vipi mwambie awe anatembea akiwa amekubeba mgongoni ili usitongozwe Mrembo.
sijaelewa ujue sio matani ya hiviii me ndio mana acha niwe mkali tu matani ya kijinga sitaki kabisaHahaha
Kajisahau
Aseme nani?Mwache aseme mwenyewe
mke mweena wewe tena
Pamoja mkuu..1/Princess Lalla SALMA
Ana umri wa miaka 39
Ndiye mke wa King Mohammed VI wa Moroko mwenye umri wa miaka 54
Ndiye Mfalme bishoo aliyekuja bongo mwaka jana akiwa na mapozi na macho ya kurembua kiasi watu kumsimanga kwamba ni shoga ila Sizonje alilamba misaada
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
hivi shemela uliulizwa ni kwa kina naniNdio mkuu, kwao shunie
ndio hivyo nahisiAisee, inawezekana ikawa
wozaaaaaa watu na wapenzi wao na me siku maksudi nitaquoteMsamehe kwa niaba yangu, nimeishamwambia
Baby...Hahaha
Kajisahau
Asante Madenge1/Princess Lalla SALMA
Ana umri wa miaka 39
Ndiye mke wa King Mohammed VI wa Moroko mwenye umri wa miaka 54
Ndiye Mfalme bishoo aliyekuja bongo mwaka jana akiwa na mapozi na macho ya kurembua kiasi watu kumsimanga kwamba ni shoga ila Sizonje alilamba misaada
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
Twende zetu ila kule matusi nje nje....kama unaenda siasani nakuja
Mi sichagui. Cha muhimu ni upendo wa kweli (kama upo), heshima na tabia ya kuridhisha...unapenda vyeupe msukuma hivi hakunaga msukuma anayependa vyeusi
ila dada we ni mbishiiiiMwache aseme mwenyewe
Yaanisijaelewa ujue sio matani ya hiviii me ndio mana acha niwe mkali tu matani ya kijinga sitaki kabisa
Makapuku.!Humu ndani kuna utani fulani hivi amazing.
Kuna groups wanataniana saanaa na hakuna ubaya.
Makapuku wengine wakijaribu kutania baadhi ya pairs au couples salalee.
Tafsiri ya makapuku ni watu wenye mtazamo mmoja mwelekeo mmoja na malengo yaliyo sawa.
Sasa daah! Mkwara unakuwa mzito sana.
Makapuku ni stress free zone. Pole mliokwazika na utani wangu.