Makapuku Forum

Akirudi mwambie Leo ninatoka out na mpenzi. Mchungaji huyu nilishakataa huduma yake mapema sana
Wala sjaomba nikuhudumie, umepata kiburi baada ya kumshawishi mkeo akukubali japo huna hata pa kulala, niliwaomba waumini wakuchangie kuanzia suti,kodi,mahari hata jiko la mchina, nilikuazima hata kiatu leo umekuwa na kiburi...sawa tu
 
Nilimpata huyu mwanamke hata kabla wewe hujamjua mtumishi. Ila sio kesi tufanye yaishe. Niache nilinde ndoa yangu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…